# Jambo hiloi likawa dhambi kwenye familia ya Yeroboamu "Familia ya Yeroboamu ikawa imefanya dhambi kwa kufanya jambo hili" # Jambo hili Hii inamaanisha kitendo cha Yeroboamu kujenga madhabahu ya miungu na kuchagua makuhani. # na kusababishsa familia yake kuangamizwa na kuondolewa kabisa katika uso wa dunia "Munugu aliiangamiza na kuiondoa familia ya Yeroboamu katika usowa dunia"