sw_tn/1ki/01/38.md

20 lines
600 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
Watu wa Israeli wanampaka mafuta Sulemani kuwa mfalme wa Israeli.
# Wakerethi ... Wapelethi
majina ya makundi ya watu
# Gihoni
jina la kisima, mahali ambapo maji baridi hutoka katikta ardhi
# akachukua pembe lenye mafuta hemani
alichukua pemba maalumu la mnyama lililokuwa limejaa mafuta ya mizeituni ambayo makuhani walikuwa wameyatunza kwenye hema maalumu ya BWANA.
# pembe ya mafuta
Hii inaweza kumaanisha 1) pembe ya mnyama iliyojaa mafuta ya mizeiituni au 2) choombo ambacho kilitumika badala ya pembe lakini watu bado waliendelea kuita pembe, "chombo cha mafuta"