# Taarifa kwa ujumla Watu wa Israeli wanampaka mafuta Sulemani kuwa mfalme wa Israeli. # Wakerethi ... Wapelethi majina ya makundi ya watu # Gihoni jina la kisima, mahali ambapo maji baridi hutoka katikta ardhi # akachukua pembe lenye mafuta hemani alichukua pemba maalumu la mnyama lililokuwa limejaa mafuta ya mizeituni ambayo makuhani walikuwa wameyatunza kwenye hema maalumu ya BWANA. # pembe ya mafuta Hii inaweza kumaanisha 1) pembe ya mnyama iliyojaa mafuta ya mizeiituni au 2) choombo ambacho kilitumika badala ya pembe lakini watu bado waliendelea kuita pembe, "chombo cha mafuta"