sw_tn/1jn/01/08.md

28 lines
880 B
Markdown

# Malezo ya Jumla
Hapa neno "yeye" "lake" humaanisha Mungu.(Tazama 1:5)
# hatuna dhambi
"hatutendi dhambi"
# twajidanganya
"Twajilaghai wenyewe" au "tunajiambia uongo wenyewe"
# kweli haimo ndani yetu
Ile kweli imezungumziwa kana kwamba lilikuwa ni jambo au kitu kambacho kingeweza kuwa ndani ya waamini.
# kutusamehe dhambi zetu na kututakasa na uovu wote
Virai hivi viwili kimsingi vinamaanisha jambo lile lile. Yohana anavitumia kusisitiza kwa hakika Mungu atasamehe dhambi dhambi. : "na atazisamehe kabisa kabisa ubaya ambao tumeufanya"
# twamfanya yeye kuwa muongo,
tunadai kwamba yeye ni mwongo: "ni sawasawa na kumwita yeye mwongo, kwa sababu amesema sisi sote tumetenda dhambi"
# neno lake halimo ndani yetu
Kutii kuheshimu neno la Mungu kumezunguziwa kana kwamba neno lake lilikuwa ndani ya waamini. : "hatulielewi neno la Mungu wala hatutii linachokisema"