sw_tn/1ch/22/17.md

36 lines
720 B
Markdown

# wenu ... nanyi
Yaeleza wingi 22:18-19
# amewapa amani kila pande
"amewaopa amani kutoka vitani kila sehemu ya Israeli"
# Amewakabidhi mikononi mwangu wenyeji wote mkoa
"Amenipa nguvu juu ya kila mtu anayeishi kwetu"
# Mkoa umetiishwa mbele za Yahweh na watu wake
"Yahweh na watu wake wanatawala nchi"
# Sasa
Hili neno la tambulisha kitu muhimu Daudi anachoenda kusema.
# mtafuteni Yahweh Mungu wenu
"jaribu kumfanya Yahweh Mungu wenu kuwasikiliza"
# kwa moyo wenu wote na nafsi
"kwa dhati" au "moyo wote"
# Simameni na mjenge sehemu takatifu
"Simameni na muwaelekeze wafanya kazi wanapo jenga sehemu takatifu"
# nyumba iliyo jengwa kwa ajili ya jina la Yahweh
"hekalu utakalo jenga kumheshimu Yahweh"