# wenu ... nanyi Yaeleza wingi 22:18-19 # amewapa amani kila pande "amewaopa amani kutoka vitani kila sehemu ya Israeli" # Amewakabidhi mikononi mwangu wenyeji wote mkoa "Amenipa nguvu juu ya kila mtu anayeishi kwetu" # Mkoa umetiishwa mbele za Yahweh na watu wake "Yahweh na watu wake wanatawala nchi" # Sasa Hili neno la tambulisha kitu muhimu Daudi anachoenda kusema. # mtafuteni Yahweh Mungu wenu "jaribu kumfanya Yahweh Mungu wenu kuwasikiliza" # kwa moyo wenu wote na nafsi "kwa dhati" au "moyo wote" # Simameni na mjenge sehemu takatifu "Simameni na muwaelekeze wafanya kazi wanapo jenga sehemu takatifu" # nyumba iliyo jengwa kwa ajili ya jina la Yahweh "hekalu utakalo jenga kumheshimu Yahweh"