sw_tn/1ch/22/09.md

24 lines
535 B
Markdown

# Maelezo ya Jumla
Daudi anaendelea kumuambia Sulemani kile Yahweh alicho mwambia.
# kila upande
Hii ina maana ya kila sehemu kuzunguka Israeli.
# katika siku zake
"wakati akitawala Israeli yote"
# nyumba kwa jina langu, na nitakuwa baba yake
"hekalu la kunitukuza"
# Ata kuwa mwana wangu
Mungu ata mtendea Sulemani kama alikuwa ni mwanae wa pekee.
# Nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake juu ya Israeli
Hapa "kiti cha enzi" cha husu mamlaka ya kutawala kama mfalme. "Nitafanya uzao wake utawale juu ya Israeli milele"