# Maelezo ya Jumla Daudi anaendelea kumuambia Sulemani kile Yahweh alicho mwambia. # kila upande Hii ina maana ya kila sehemu kuzunguka Israeli. # katika siku zake "wakati akitawala Israeli yote" # nyumba kwa jina langu, na nitakuwa baba yake "hekalu la kunitukuza" # Ata kuwa mwana wangu Mungu ata mtendea Sulemani kama alikuwa ni mwanae wa pekee. # Nitaimarisha kiti cha enzi cha ufalme wake juu ya Israeli Hapa "kiti cha enzi" cha husu mamlaka ya kutawala kama mfalme. "Nitafanya uzao wake utawale juu ya Israeli milele"