sw_tn/rev/13/intro.md

34 lines
1.5 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Ufunuo 13 Maelezo ya jumla
2021-09-10 19:26:55 +00:00
## Muundo na mpangilio
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 13:10 ambayo imenukuliwa kutoka Agano la Kale.
2021-09-10 19:26:55 +00:00
## Dhana muhimu katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:26:55 +00:00
### Jeraha ya mauti
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wasomi wengi wanaamini huu ni unabii wa kifo cha mpinga Kristo. Wanaamini mpinga Kristo ataigiza ufufuko wa Yesu ama kuugushi. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/antichrist]] na [[rc://*/tw/dict/bible/kt/resurrection]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:26:55 +00:00
## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:26:55 +00:00
### Yule Mnyama
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Wasomi wengi anaamini kwamba hii ni mfano kwa kuelezea mpinga Kristu.Hii ni muhimu kwa kuelewa kikamilifu aya hii.Hii ni kinyume na mwanakondoo ambaye anaashiria Yesu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]], [[rc://*/ta/man/translate/figs-personification]] na [[rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:26:55 +00:00
### Mnyama mwingine
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Wasomi wengi wanaamini kwamba huyu mnyama mwingine ni nabii ama kuhani wa mpinga Kristu. Ana uwezo wa kutenda miujiza mingi na kuwafanya watu wengi kumuabudu mpinga Kristu.
2021-09-10 19:26:55 +00:00
## Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:26:55 +00:00
### Wanyama wasiojulikana
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Sura hii inatumia idadi kubwa ya wanyama wasiojulikana.Wingi wa wanyama hawa wametumika kiishara ingawa maana yao haielezeki waziwazi. Hii itasababisha utata mkubwa kwa watafsiri. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/translate-unknown]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
## Links:
* __[Revelation 13:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:26:55 +00:00
__[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__