sw_tn/rev/13/intro.md

1.5 KiB

Ufunuo 13 Maelezo ya jumla

Muundo na mpangilio

Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 13:10 ambayo imenukuliwa kutoka Agano la Kale.

Dhana muhimu katika sura hii

Jeraha ya mauti

Wasomi wengi wanaamini huu ni unabii wa kifo cha mpinga Kristo. Wanaamini mpinga Kristo ataigiza ufufuko wa Yesu ama kuugushi. (Tazama: [[rc:///tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc:///tw/dict/bible/kt/antichrist]] na rc://*/tw/dict/bible/kt/resurrection)

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Yule Mnyama

Wasomi wengi anaamini kwamba hii ni mfano kwa kuelezea mpinga Kristu.Hii ni muhimu kwa kuelewa kikamilifu aya hii.Hii ni kinyume na mwanakondoo ambaye anaashiria Yesu. (Tazama: [[rc:///ta/man/translate/figs-metaphor]], [[rc:///ta/man/translate/figs-personification]] na rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting)

Mnyama mwingine

Wasomi wengi wanaamini kwamba huyu mnyama mwingine ni nabii ama kuhani wa mpinga Kristu. Ana uwezo wa kutenda miujiza mingi na kuwafanya watu wengi kumuabudu mpinga Kristu.

Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii

Wanyama wasiojulikana

Sura hii inatumia idadi kubwa ya wanyama wasiojulikana.Wingi wa wanyama hawa wametumika kiishara ingawa maana yao haielezeki waziwazi. Hii itasababisha utata mkubwa kwa watafsiri. (Tazama: rc://*/ta/man/translate/translate-unknown)

<< | >>