# Ufunuo 13 Maelezo ya jumla ## Muundo na mpangilio Tafsiri zingine zinaingiza ndani kidogo msitari wa ushairi ili isomeke kwa urahisi. ULB hufanya hivi na ushairi ulioko katika 13:10 ambayo imenukuliwa kutoka Agano la Kale. ## Dhana muhimu katika sura hii ### Jeraha ya mauti Wasomi wengi wanaamini huu ni unabii wa kifo cha mpinga Kristo. Wanaamini mpinga Kristo ataigiza ufufuko wa Yesu ama kuugushi. (Tazama: [[rc://*/tw/dict/bible/kt/prophet]], [[rc://*/tw/dict/bible/kt/antichrist]] na [[rc://*/tw/dict/bible/kt/resurrection]]) ## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii ### Yule Mnyama Wasomi wengi anaamini kwamba hii ni mfano kwa kuelezea mpinga Kristu.Hii ni muhimu kwa kuelewa kikamilifu aya hii.Hii ni kinyume na mwanakondoo ambaye anaashiria Yesu. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/figs-metaphor]], [[rc://*/ta/man/translate/figs-personification]] na [[rc://*/ta/man/translate/writing-apocalypticwriting]]) ### Mnyama mwingine Wasomi wengi wanaamini kwamba huyu mnyama mwingine ni nabii ama kuhani wa mpinga Kristu. Ana uwezo wa kutenda miujiza mingi na kuwafanya watu wengi kumuabudu mpinga Kristu. ## Maswala mengine ya utata katika tafsiri ya sura hii ### Wanyama wasiojulikana Sura hii inatumia idadi kubwa ya wanyama wasiojulikana.Wingi wa wanyama hawa wametumika kiishara ingawa maana yao haielezeki waziwazi. Hii itasababisha utata mkubwa kwa watafsiri. (Tazama: [[rc://*/ta/man/translate/translate-unknown]]) ## Links: * __[Revelation 13:01 Notes](./01.md)__ __[<<](../12/intro.md) | [>>](../14/intro.md)__