sw_tn/php/02/28.md

20 lines
493 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# nitaondolewa wasi wasi
"sintoogopa kama nilivyokuwa"
# Mkaribisheni Epafradito
"mpokeeni Epafradito kwa furaha"
# katika Bwana kwa furaha
"kama muumini mpendwa katika Bwana pamoja na furaha yote"
# alikaribia kufa
hapa Paulo anzungumzia kifo kana kwamba kilikuwa ni sehemu ambayo angeweza kwenda.
# kufanya kile ambacho hamkuweza kufanya katika kunihudumia
Paulo anzungumzia mahitaji yake kana walikuwa chombo cha kubebea kwamba Epafradito alijazwa vitu vizuri kwa ajili ya Paulo.