# nitaondolewa wasi wasi "sintoogopa kama nilivyokuwa" # Mkaribisheni Epafradito "mpokeeni Epafradito kwa furaha" # katika Bwana kwa furaha "kama muumini mpendwa katika Bwana pamoja na furaha yote" # alikaribia kufa hapa Paulo anzungumzia kifo kana kwamba kilikuwa ni sehemu ambayo angeweza kwenda. # kufanya kile ambacho hamkuweza kufanya katika kunihudumia Paulo anzungumzia mahitaji yake kana walikuwa chombo cha kubebea kwamba Epafradito alijazwa vitu vizuri kwa ajili ya Paulo.