sw_tn/mat/16/17.md

32 lines
757 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Simoni Bar Yona
"Simoni, mwana wa Yona"
# damu na nyama havikukufunulia hilo
damu na nyama inamaanisha binadamu
# hili kwako
neno "hili" inamaanisha jibu la Petro kwamba Yesu ni Kristo mwana wa Mungu aliye juu
# Baba yangu aliye mbinguni
Hicho ni cheo cha muhimu kwa Mungu ambacho kinaelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu
# Nami pia ninakwambia
hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye
# wewe ni Petro
jina Petro linamaanisha "mwamba"
# juu y a mwamba huu nitalijenga kanisa
hii inamaanisha kuwa Petro atakuwa kiongozi wa jamii ya watu wanomwamini Yesu
# Milango ya kuzimu haitalishinda
Maana zinazowezekana:1)"nguvu za kifo hazitaliweza kanaisa au 2) Kanaisa langu zitaivunja nguvu ya kifo kama jeshi liingiavyo katika mji