# Simoni Bar Yona "Simoni, mwana wa Yona" # damu na nyama havikukufunulia hilo damu na nyama inamaanisha binadamu # hili kwako neno "hili" inamaanisha jibu la Petro kwamba Yesu ni Kristo mwana wa Mungu aliye juu # Baba yangu aliye mbinguni Hicho ni cheo cha muhimu kwa Mungu ambacho kinaelezea uhusiano kati ya Mungu na Yesu # Nami pia ninakwambia hii inaongeza msisitizo wa kile Yesu alichosema baadaye # wewe ni Petro jina Petro linamaanisha "mwamba" # juu y a mwamba huu nitalijenga kanisa hii inamaanisha kuwa Petro atakuwa kiongozi wa jamii ya watu wanomwamini Yesu # Milango ya kuzimu haitalishinda Maana zinazowezekana:1)"nguvu za kifo hazitaliweza kanaisa au 2) Kanaisa langu zitaivunja nguvu ya kifo kama jeshi liingiavyo katika mji