sw_tn/mat/16/11.md

16 lines
300 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Yesu anaendelea kuwaonya wanafunzi wake juu ya Mafarisayo na Masadukayo
# Imekuwaje hata hamuelewii kuwa sizungumzi nanyi kuhusu mikate?
"Inatakiwa muelewe kwamba siongei kumaanisha mikate kweli."
# chachu ya Mafarisayo n a Masadukayo
tazama 16:12
# wao...wao
"wanafunzi"