# Sentensi unganishi Yesu anaendelea kuwaonya wanafunzi wake juu ya Mafarisayo na Masadukayo # Imekuwaje hata hamuelewii kuwa sizungumzi nanyi kuhusu mikate? "Inatakiwa muelewe kwamba siongei kumaanisha mikate kweli." # chachu ya Mafarisayo n a Masadukayo tazama 16:12 # wao...wao "wanafunzi"