sw_tn/jhn/17/25.md

16 lines
454 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Ulimwengu haukukutambua, lakini mimi nakujua; na hawa wanajua kuwa ulinituma
"ulimwengu hauna uzoefu wa kukujua wewe kama ninavyokujua; na hawa wanajua kuwa wewe umenituma"
# jina
Hili linamanisha Mungu.
# lile pendo...ulilonipenda
Upendo wa jinsi hii hutoka kwa Mungu na hulenga mema ya wengine, hata kama hauna maslahi binafsi. Upendo wa jinsi hii huwajali wengine bila kujali wanachofanya
# Mungu mwenye haki
Hiki ni cheo cha muhimucha Mungu