# Ulimwengu haukukutambua, lakini mimi nakujua; na hawa wanajua kuwa ulinituma "ulimwengu hauna uzoefu wa kukujua wewe kama ninavyokujua; na hawa wanajua kuwa wewe umenituma" # jina Hili linamanisha Mungu. # lile pendo...ulilonipenda Upendo wa jinsi hii hutoka kwa Mungu na hulenga mema ya wengine, hata kama hauna maslahi binafsi. Upendo wa jinsi hii huwajali wengine bila kujali wanachofanya # Mungu mwenye haki Hiki ni cheo cha muhimucha Mungu