sw_tn/act/07/09.md

24 lines
518 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mababu
Wana wakubwa wa Yakobo " "au" ndugu wakubwa wa Yusufu"
# wakamwonea wivu Yusufu
Ndugu zake wakubwa na Yusufu walijawa na wivu dhidi yake.
# wakamuuza katika nchi ya Misri
Wayahudi walijua kuwa mababu zao walimwuza Yusufu na kuwa mtumwa katika nchi ya Misri.
# Na Mungu
Inafaa kutumika kiuhalisia kuwa; "lakini Mungu" alikuwa pamoja naye huko.
# Juu ya Misri
Yusufu akawatawala watu wote wa Misri
# na juu ya nyumba yake yote
linaelezea; na kila kitu Farao alichokuwa anakimiliki nyumbani kwake.