# Mababu Wana wakubwa wa Yakobo " "au" ndugu wakubwa wa Yusufu" # wakamwonea wivu Yusufu Ndugu zake wakubwa na Yusufu walijawa na wivu dhidi yake. # wakamuuza katika nchi ya Misri Wayahudi walijua kuwa mababu zao walimwuza Yusufu na kuwa mtumwa katika nchi ya Misri. # Na Mungu Inafaa kutumika kiuhalisia kuwa; "lakini Mungu" alikuwa pamoja naye huko. # Juu ya Misri Yusufu akawatawala watu wote wa Misri # na juu ya nyumba yake yote linaelezea; na kila kitu Farao alichokuwa anakimiliki nyumbani kwake.