sw_tn/act/05/26.md

20 lines
659 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Sentensi unganishi
Mlinzi na maafisa waliwaleta mitume mbele ya baraza la viongozi wa dini.
# waliwaogopa watu
Mitume walipelekwa bila vurugu mbele ya baraza, viongozi walikuwa wamewahofia watu juu ya kitendo chochote wangekifanya kwa mitume.
# Katika jina hili
Neno "Jina" linamaanisha Yesu Kristo. Mitume walizuiliwa wasinene neno lolote kupitia Jina la Yesu.
# mmeijaza Yerusalemu kwa fundisho lenu
Inamaanisha wamewafundisha watu wote wa Yerusalemu habari za Yesu.
# na kutamani kuleta damu ya mtu huyu juu yetu.
Neno "Damu" linamaanisa kifo cha Yesu na damu yake. Kwamba Viongozi hao walipaswa kuwajibika kwa kuhusika kwao kumwua Yesu Kristo.