sw_tn/1ti/06/15.md

20 lines
368 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2018-04-12 01:01:04 +00:00
# Mungu atadhihirisha ujio wake
Hii inaweza kumaanisha kuwa Mungu atamdhihirisha Yesu
# kwa wakati sahihi
kwa wakati unaofaa/muafaka
# mbarikiwa
Anayestahili sifa. Hii inamaanisha Mungu Baba
# Peke yake anaishi milele
Yeye pekee ana nguvu ya kuishi milele
# akaaye katika mwanga usiokaribiwa
anakaa katika mwaka unaong'aa sana ambao hakuna awezaye kuukaribia