# Mungu atadhihirisha ujio wake Hii inaweza kumaanisha kuwa Mungu atamdhihirisha Yesu # kwa wakati sahihi kwa wakati unaofaa/muafaka # mbarikiwa Anayestahili sifa. Hii inamaanisha Mungu Baba # Peke yake anaishi milele Yeye pekee ana nguvu ya kuishi milele # akaaye katika mwanga usiokaribiwa anakaa katika mwaka unaong'aa sana ambao hakuna awezaye kuukaribia