Mon Nov 07 2022 20:05:32 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-11-07 20:05:34 +03:00
parent 62170d4088
commit 9bd38a7c85
7 changed files with 12 additions and 30 deletions

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 45 Wakimbiao watasimama katika kivuli cha Heshboni bila nguvu yoyote, maana moto utatoka Heshboni, miale kutoka katikati ya Sihoni. Utateketeza paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.
=======
\v 45 Wakimbiao watasimama katika kivuli cha Heshboni bila nguvu, maana moto utatoka Heshboni, miale kutoka katikati ya Sihoni. Utateketeza paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 45 Wakimbiao watasimama katika kivuli cha Heshboni bila nguvu yoyote, maana moto utatoka Heshboni, miale kutoka katikati ya Sihoni. Utateketeza paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 46 Ole wako, Moabu! watu wa Kemoshi wameangamizwa, Kwa maana wana wako wamechukuliwa kama mateka na binti zako utumwani. \v 47 Lakini nitazirejesha siku njema za Moabu katika siku zijazo - asema Yahwe." Hukumu ya Moabu inaishia hapa.
=======
\v 46 Ole wako, Moabu! watu wa Kemoshi wameangamizwa, Kwa maana wana wako wamechukuliwa kama mateka na binti zako matekani. \v 47 Lakini nitazirejesha siku njema za Moabu katika siku zijazo - asema Yahwe." Hukumu ya Moabu inaishia hapa.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 46 Ole wako, Moabu! watu wa Kemoshi wameangamizwa, Kwa maana wana wako wamechukuliwa kama mateka na binti zako utumwani. \v 47 Lakini nitazirejesha siku njema za Moabu katika siku zijazo - asema Yahwe." Hukumu ya Moabu inaishia hapa.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\c 49 \v 1 Juu ya watu wa Amoni, Yahwe asema hivi, "Je Israeli hana watoto? Je hakuna mtu wa kurithi chochote katika Israeli? Kwa nini Moleki aikalie Gadi, na watu wake kukaa katika miji yake? \v 2 Hivyo angalia, siku zinakuja--asema Yahwe - nitakapo sikizisha ishara ya vita juu ya Raba miongoni mwa watu wa Amoni, hivyo itakuwa rundo lililoachwa na vijiji vyake vitawaka moto. Maana Israeli atawamiliki wanaommiliki," asema Yahwe.
=======
\v 1 Juu ya watu wa Amoni, Yahwe asema hivi, "Je Israeli hana watoto? Je hakuna mtu wa kurithi chochote katika Israeli? Kwa nini Moleki aikalie Gadi, na watu wake kukaa katika miji yake? \v 2 Hivyo angalia, siku zinakuja - asema Yahwe - nitakapo sikizisha ishara ya vita juu ya Raba miongoni mwa watu wa Amoni, hivyo itakuwa rundo lililoachwa na binti zake watawasha moto. Maana Israeli atawamiliki wanaommiliki," asema Yahwe.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\c 49 \v 1 Juu ya watu wa Amoni, Yahwe asema hivi, "Je Israeli hana watoto? Je hakuna mtu wa kurithi chochote katika Israeli? Kwa nini Moleki aikalie Gadi, na watu wake kukaa katika miji yake? \v 2 Hivyo angalia, siku zinakuja--asema Yahwe - nitakapo sikizisha ishara ya vita juu ya Raba miongoni mwa watu wa Amoni, hivyo itakuwa rundo lililoachwa na vijiji vyake vitawaka moto. Maana Israeli atawamiliki wanaommiliki," asema Yahwe.

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 3 Piga kelele kwa maombolezo, Heshboni, maana Ai utaangamizwa! Piga kelele, Binti za Raba! jifungeni kwa nguo za magunia. Ombolezeni na kukimbia kwa kuchanganyikiwa, maana Moleki anakwenda utumwani, pamoja na makuhani na viongozi wake. \v 4 Kwa nini mnajivunia mabonde yenu, mabonde yenu yaliyoshamiri? Mabonde yenu yatakwisha, binti wasioamini, ninyi mnaotumaini utajiri wenu na . mwasema, "Nani atakayekuja kinyume changu?'
=======
\v 3 Piga kelele kwa maombolezo, Heshboni, maana Ai utaangamizwa! Piga kelele, Binti za Raba! Vaeni nguo za magunia. Ombolezeni na kukimbia kwa kuchanganyikiwa, maana Moleki anakwenda matekani, pamoja na makuhani na viongozi wake. \v 4 Kwa nini mnajivunia nguvu zenu? Nguvu zenu zitakwisha, binti wasioamini, ninyi mnaotumaini utajiri wenu. Mwasema, "Nani atakayekuja kinyume changu?'
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 3 Piga kelele kwa maombolezo, Heshboni, maana Ai utaangamizwa! Piga kelele, Binti za Raba! jifungeni kwa nguo za magunia. Ombolezeni na kukimbia kwa kuchanganyikiwa, maana Moleki anakwenda utumwani, pamoja na makuhani na viongozi wake. \v 4 Kwa nini mnajivunia mabonde yenu, mabonde yenu yaliyoshamiri? Mabonde yenu yatakwisha, binti wasioamini, ninyi mnaotumaini utajiri wenu na . mwasema, "Nani atakayekuja kinyume changu?'

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 5 Tazama, nitaleta kitisho juu yenu - hili ni tamko la Yahwe, Bwana wa majeshi--kitisho hiki kitatoka kwao wote wanaowazunguka. Kila mmoja wenu atatawanyika mbele yake. Hakutakuwa na wa kuwakusanya wanaotokomea mbali. \v 6 Lakini baada ya haya nitarejesha mema ya watu wa Amoni - hili ni tamko la Yahwe."
=======
\v 5 Tazama, nitaleta kitisho juu yenu - hili ni tamko la Yahwe, Bwana Mungu wa majeshi - kitisho hiki kitatoka kwao wote wanaowazunguka. Kila mmoja wenu atatawanyika mbele yake. Hakutakuwa na wa kuwakusanya wanaotawanyika. \v 6 Lakini baada ya haya nitarejesha mema ya watu wa Amoni - hili ni tamko la Yahwe."
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 5 Tazama, nitaleta kitisho juu yenu - hili ni tamko la Yahwe, Bwana wa majeshi--kitisho hiki kitatoka kwao wote wanaowazunguka. Kila mmoja wenu atatawanyika mbele yake. Hakutakuwa na wa kuwakusanya wanaotokomea mbali. \v 6 Lakini baada ya haya nitarejesha mema ya watu wa Amoni - hili ni tamko la Yahwe."

View File

@ -1,5 +1 @@
<<<<<<< HEAD
\v 12 Maana Yahwe asema hivi, "Tazama, wasiostahili ni lazima wanywe sehemu ya kikombe. Je mnadhani mtaachwa bila kuhadhibiwa? Hapana, maana hakika mtakunywa. \v 13 Maana nimekwisha apa kwangu mimi mwenyewe--asema Yahwe--Hiyo Bozra itakuwa hofu, aibu, magofu, na kitu cha laana. Miji yake yote itakuwa magofu daima.
=======
\v 12 Maana Yahwe asema hivi, "Tazama, wasiostahili ni lazima wanywe sehemu ya kikombe. Je mnadhani mtaachwa bila kuadhibiwa? Hapana, maana hakika mtakunywa. \v 13 Maana nimekwisha apa kwangu mimi mwenyewe - asema Yahwe - Hiyo Bozra itakuwa hofu, aibu, magofu, na kitu cha laana. Miji yake yote itakuwa magofu daima.
>>>>>>> a69b3592141fa67a42997a06406ea518eef6a113
\v 12 Maana Yahwe asema hivi, "Tazama, wasiostahili ni lazima wanywe sehemu ya kikombe. Je mnadhani mtaachwa bila kuhadhibiwa? Hapana, maana hakika mtakunywa. \v 13 Maana nimekwisha apa kwangu mimi mwenyewe--asema Yahwe--Hiyo Bozra itakuwa hofu, aibu, magofu, na kitu cha laana. Miji yake yote itakuwa magofu daima.

View File

@ -317,7 +317,13 @@
"48-36",
"48-38",
"48-40",
"48-42",
"48-45",
"48-46",
"49-title",
"49-01",
"49-03",
"49-05",
"49-07",
"49-09",
"49-14",