sw_jer_text_reg/48/45.txt

1 line
209 B
Plaintext

\v 45 Wakimbiao watasimama katika kivuli cha Heshboni bila nguvu yoyote, maana moto utatoka Heshboni, miale kutoka katikati ya Sihoni. Utateketeza paji la uso wa Moabu na juu ya vichwa vya watu wenye majivuno.