sw_jer_text_reg/49/03.txt

1 line
429 B
Plaintext

\v 3 Piga kelele kwa maombolezo, Heshboni, maana Ai utaangamizwa! Piga kelele, Binti za Raba! jifungeni kwa nguo za magunia. Ombolezeni na kukimbia kwa kuchanganyikiwa, maana Moleki anakwenda utumwani, pamoja na makuhani na viongozi wake. \v 4 Kwa nini mnajivunia mabonde yenu, mabonde yenu yaliyoshamiri? Mabonde yenu yatakwisha, binti wasioamini, ninyi mnaotumaini utajiri wenu na . mwasema, "Nani atakayekuja kinyume changu?'