sw_jer_text_reg/48/46.txt

1 line
236 B
Plaintext

\v 46 Ole wako, Moabu! watu wa Kemoshi wameangamizwa, Kwa maana wana wako wamechukuliwa kama mateka na binti zako utumwani. \v 47 Lakini nitazirejesha siku njema za Moabu katika siku zijazo - asema Yahwe." Hukumu ya Moabu inaishia hapa.