Thu Apr 27 2023 14:27:13 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 14:27:14 +03:00
parent a9c1daa019
commit b48eb142e4
4 changed files with 7 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho. 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1,290. 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335. 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku."
\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" \v 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.

1
12/10.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. \v 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1,290.

1
12/12.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335. \v 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku."

View File

@ -216,6 +216,9 @@
"12-title",
"12-03",
"12-05",
"12-07"
"12-07",
"12-08",
"12-10",
"12-12"
]
}