diff --git a/12/08.txt b/12/08.txt index 5cdf457..affaeb2 100644 --- a/12/08.txt +++ b/12/08.txt @@ -1 +1 @@ -\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho. 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1,290. 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335. 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku." \ No newline at end of file +\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" \v 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho. \ No newline at end of file diff --git a/12/10.txt b/12/10.txt new file mode 100644 index 0000000..0dc27ac --- /dev/null +++ b/12/10.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. \v 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1,290. \ No newline at end of file diff --git a/12/12.txt b/12/12.txt new file mode 100644 index 0000000..6b116e2 --- /dev/null +++ b/12/12.txt @@ -0,0 +1 @@ +\v 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335. \v 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 3dcfa57..0c911e6 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -216,6 +216,9 @@ "12-title", "12-03", "12-05", - "12-07" + "12-07", + "12-08", + "12-10", + "12-12" ] } \ No newline at end of file