sw_dan_text_ulb/12/08.txt

1 line
213 B
Plaintext

\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" \v 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho.