Thu Apr 27 2023 14:25:13 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2023-04-27 14:25:14 +03:00
parent 1f01135102
commit a9c1daa019
5 changed files with 8 additions and 1 deletions

1
12/03.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 3 Wale wenye hekima watang'ara kama mng'ao wa anga la juu, na wale wenye kuwaelekeza wengine katika haki, watakuwa kama nyota milele na milele. \v 4 Lakini wewe, Danieli, yafunge maneno haya; ukakitie muhuri kitabu mpaka nyakati za mwisho. Watu wengi watakimbia huku na kule, na maarifa yataongezeka.

1
12/05.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 5 Kisha mimi, Danieli, nilitazama, na kulikuwa na malaika wengine wawili wamesimama. Mmoja alisimama katika upande huu wa ukingo wa mto, na mwingine alisimama katika ukingo wa upande mwingine wa mto. \v 6 Mmoja wao alimwambia mtu aliyevaa nguo za kitani, yeye aliyekuwa juu ya mkondo wa mto, "Je, itachukua muda gani mpaka mwisho wa matukio haya ya kushangaza?"

1
12/07.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 7 Nilimsikia mtu yule aliyevaa nguo za kitani, aliyekuwa juu katika mkondo wa mto, aliinua mkono wake wa kuume na mkono wake wa kushoto kuelekea mbinguni na kuapa kwa yeye aishiye milele kwamba itakuwa kwa wakati, nyakati, na nusu wakati. Na wakati nguvu za watu watakatifu zitakapokuwa zimeshaharibiwa, mambo haya yote yatakuwa yamemalizika.

1
12/08.txt Normal file
View File

@ -0,0 +1 @@
\v 8 Nilisikia, lakini sikufahamu. Basi nikamwuliza, "Bwana wangu, mambo haya yote yatakuwa na matokeo gani?" 9 Alisema, "Nenda zako Danieli, kwa kuwa maneno yamefungwa, na kutiwa muhuri mpaka wakati wa mwisho. 10 Watu wengi watakuwa wametakaswa, wameoshwa, na kusafishwa, lakini waovu wataenenda katika uovu. 11 Katika muda ule ambapo sadaka ya kawaida ya kuteketezwa itakapokuwa imeondolewa na chukizo la uharibifu liliosababisha ukiwa limesimamishwa, kutakuwa na siku zipatazo 1,290. 12 Ana heri mtu yule anayengojea mpaka mwisho wa siku 1,335. 13 Unapaswa uondoke uende njia yako hata mwisho, na kisha utapumzika. Utainuka katika sehemu uliyopewa, mwishoni mwa siku."

View File

@ -213,6 +213,9 @@
"11-40",
"11-42",
"11-44",
"12-title"
"12-title",
"12-03",
"12-05",
"12-07"
]
}