sw_tq/1sa/25/32.md

9 lines
278 B
Markdown

# Daudi alisema kuwa nani alimtuma Abigaili kukutana naye?
Daudi alisema kuwa Bwana alimtuma Abigaili.
# Kwa nini Daudi alisema kuwa Abigaili na hekima yake ibarikiwe?
Kwa sababu ya tendo la haraka la Abigaili, Daudi alighairi kumwaga damu na kutojilipizia kisasi mwenyewe.