# Daudi alisema kuwa nani alimtuma Abigaili kukutana naye? Daudi alisema kuwa Bwana alimtuma Abigaili. # Kwa nini Daudi alisema kuwa Abigaili na hekima yake ibarikiwe? Kwa sababu ya tendo la haraka la Abigaili, Daudi alighairi kumwaga damu na kutojilipizia kisasi mwenyewe.