sw_tq/1sa/25/32.md

278 B

Daudi alisema kuwa nani alimtuma Abigaili kukutana naye?

Daudi alisema kuwa Bwana alimtuma Abigaili.

Kwa nini Daudi alisema kuwa Abigaili na hekima yake ibarikiwe?

Kwa sababu ya tendo la haraka la Abigaili, Daudi alighairi kumwaga damu na kutojilipizia kisasi mwenyewe.