sw_tq/1sa/16/02.md

256 B

Samweli aliogopa kitu gani ikiwa Sauli atasikia kuwa anasafiri kwenda Bethlehemu?

Aliogopa kuwa Sauli atamuua.

Bwana alimwambia kuwa Samweli atamfahamu vipi mtu wa kumtia mafuta?

Alimwambia Samweli kuwa atampaka mafuta mtu ambaye Bwana atamwambia.