# Samweli aliogopa kitu gani ikiwa Sauli atasikia kuwa anasafiri kwenda Bethlehemu? Aliogopa kuwa Sauli atamuua. # Bwana alimwambia kuwa Samweli atamfahamu vipi mtu wa kumtia mafuta? Alimwambia Samweli kuwa atampaka mafuta mtu ambaye Bwana atamwambia.