sw_tq/1sa/16/02.md

9 lines
256 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:39:41 +00:00
# Samweli aliogopa kitu gani ikiwa Sauli atasikia kuwa anasafiri kwenda Bethlehemu?
Aliogopa kuwa Sauli atamuua.
# Bwana alimwambia kuwa Samweli atamfahamu vipi mtu wa kumtia mafuta?
Alimwambia Samweli kuwa atampaka mafuta mtu ambaye Bwana atamwambia.