sw_tq/1sa/13/17.md

167 B

Ni mbinu gani Wafilisti waliitumia dhidi ya wana wa Israeli?

Wafilisti walituma wateka nyara toka kwenye kambi zao kwenda kwenye maeneo tofauti matatu ya Israeli.