sw_tq/1sa/13/17.md

5 lines
167 B
Markdown

# Ni mbinu gani Wafilisti waliitumia dhidi ya wana wa Israeli?
Wafilisti walituma wateka nyara toka kwenye kambi zao kwenda kwenye maeneo tofauti matatu ya Israeli.