sw_tn/jer/09/15.md

16 lines
289 B
Markdown

# Taarifa kwa ujumla
BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda.
# pakanga
"mmea ulio na radha chungu"
# Ndipo nitakapowasambaza kati ya mataifa
"Kisha nitawalzimisha kuondoka hapa na kuishi katika nchi nyingi"
# Nitatuma upanga kwa ajiliyao
"Nitatuma jeshi la askari kuwapiga."