# Taarifa kwa ujumla BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda. # pakanga "mmea ulio na radha chungu" # Ndipo nitakapowasambaza kati ya mataifa "Kisha nitawalzimisha kuondoka hapa na kuishi katika nchi nyingi" # Nitatuma upanga kwa ajiliyao "Nitatuma jeshi la askari kuwapiga."