sw_tn/jer/09/15.md

289 B

Taarifa kwa ujumla

BWANA anaendelea kuongea juu ya watu wa Yuda.

pakanga

"mmea ulio na radha chungu"

Ndipo nitakapowasambaza kati ya mataifa

"Kisha nitawalzimisha kuondoka hapa na kuishi katika nchi nyingi"

Nitatuma upanga kwa ajiliyao

"Nitatuma jeshi la askari kuwapiga."