sw_tn/mrk/15/45.md

12 lines
289 B
Markdown

# kaburi lile lililochimbwa katika mwamba
"awali lile kaburi lilichimbwa na mtu katika mwamba imara"
# sanda
vazi lililotengenezwa kwa kitani inayopandwa kama ilivyotafsiriwa katika 14:51-52
# mahali pale alipozikwa Yesu
"mahali pale ambapo Yusufu na wengine waliuzika mwili wa Yesu"