# kaburi lile lililochimbwa katika mwamba "awali lile kaburi lilichimbwa na mtu katika mwamba imara" # sanda vazi lililotengenezwa kwa kitani inayopandwa kama ilivyotafsiriwa katika 14:51-52 # mahali pale alipozikwa Yesu "mahali pale ambapo Yusufu na wengine waliuzika mwili wa Yesu"