sw_tn/job/30/24.md

12 lines
593 B
Markdown

# je hapana mtu wa kufikisha mkono wake kuomba msaada wakati anapoanguka? Je mtu mwenye shida hawezi kuomba msaada?
(1) "Niliwasaidia watu ambao walianguka wakati waliponiomba msaada . Niliwasaidia waliokuwa na taabu walipoomba msaada". au (2) "Nimeanguka na Mungu hapaswi kuona kama ninakosea ninapoomba msaada wake. Niko kwenye shida, naomba msaada!"
# Je sikulia...shida? Je sikusononeka...mtu?
"Unajua kwamba nililia ...shida, na nilisononeka ...mtu!"
# Nilisubiri mwanga ...giza likaja
Hapa "mwanga" unawakilisha baraka na kibali cha Mungu na "giza" linawakilisha shida na mateso.