# je hapana mtu wa kufikisha mkono wake kuomba msaada wakati anapoanguka? Je mtu mwenye shida hawezi kuomba msaada? (1) "Niliwasaidia watu ambao walianguka wakati waliponiomba msaada . Niliwasaidia waliokuwa na taabu walipoomba msaada". au (2) "Nimeanguka na Mungu hapaswi kuona kama ninakosea ninapoomba msaada wake. Niko kwenye shida, naomba msaada!" # Je sikulia...shida? Je sikusononeka...mtu? "Unajua kwamba nililia ...shida, na nilisononeka ...mtu!" # Nilisubiri mwanga ...giza likaja Hapa "mwanga" unawakilisha baraka na kibali cha Mungu na "giza" linawakilisha shida na mateso.