sw_tn/job/30/04.md

20 lines
598 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Ayubu anaendelea kuongea kuhusu baba zao wenye kudhihaki
# mboga ya chumvi ...majani ya vichakani...mizizi ya miretemu
Hii ni mimea ambayo watu waliweza kula endapo hawakuwa kupata chakula kizuri.
# mizizi ya miretemu kilikuwa chakula chao
(1) watu walikula mizizi ya miretemu au 2) watu waliota moto kwa kuchoma mizizi ya miretemu.
# walifukuzwa kutoka kati ya watu ambao waliwapigia kelele... mwizi
"walipigiwa kelele na watu ...mwizi na kulazimishwa kuondoka"
# waliwapigia kelele kama mtu anavyompigia kelele mwizi
"waliwapigia kelele kana kwamba walikuwa wezi"