sw_tn/2co/11/30.md

9 lines
220 B
Markdown

# kwamba inachoonyesha udhaifu wangu
"jinsi nilivyo na udhaifu"
"kinachoonyesha jinsi nilivyo dhaifu"
# mimi sidanganyi
Paulo anatumia sentensi yenye nguvu na ya ukanusho kusisitiza maana katika mtazamo wa kukubali.