sw_tn/2co/11/30.md

220 B

kwamba inachoonyesha udhaifu wangu

"jinsi nilivyo na udhaifu" "kinachoonyesha jinsi nilivyo dhaifu"

mimi sidanganyi

Paulo anatumia sentensi yenye nguvu na ya ukanusho kusisitiza maana katika mtazamo wa kukubali.